Soma tittle yako ndo utajua kwanini nime comment infact kwa jinsi ulivyoanza JF you are one of the worst na wewe ni kilaza and dont expect kupata msaada,tumeelewana mwalimu hahaha!
Ila kweli we KAUZUDAGAA unaudhi,kama kweli unategemea kwenda MUCE uje kuwa mwl,kazi ipo. Yaani thread yako ulipoiedt ndo umeiharbu zaidi. Sasa kuandika ;"Please click here" maana yake nini?