Sikutambua
Member
- Nov 16, 2014
- 46
- 5
Jamani Wanajamii Mie Nina Mchumba Wangu Nimpendae Sana Na Huu Ni Mwaka Wa Tatu Tangu Tulipoanza Mahusiano Yetu.Kuna Bindi Ametokea Kunipenda Sana Tangu Nikiwa Chuoni Hadi Kufikia Hatua Ya Kunitamkia Hisia Zake Kwangu Kuwa Ananipenda Sana Japo Mie Sikuvutiwa Nae Na Nilimweleza Ukweli Kuwa Ninae Nimpendae Lakini Hakunielewa.Baada Ya Kuhitimu Chuo Aliendelea Na Mawasiliano Na Mimi Na Sasa Amefikia Hatua Ya Kulazimisha Kuja Nilipo Japo Ni Mbali Tena Kwa Gharama Zake,mie Ctaki aje Na Amewashirikisha Rafiki Zangu Kuwa Namtesa Sana Hana Amani Kabisa Mpaka Atakapoonana Na Mimi Na Kusikia Neno Zuri Kutoka Kwangu.Nisaidieni Nifanye Nini?
Wewe unataka ufanye nini ?
Embu kuwa na msimamo kama mwanaume mana swala lako haliitaji ushauri. Mkatie mawasiliano kaa mbali naye kabisa usimpe nafasi akuzoee hata kidogo.
kama humtaki usiulazimishe moyo wako. uwe na msimamo kijana. nahisi naweza kukusaidia katika hili, HEBU NAOMBA NAMBA YAKE YA SIMU. nitamfanya asikutafute tena na hiyo safari ataahirisha. usihofu. please PM me her phone number....Jamani Wanajamii Mie Nina Mchumba Wangu Nimpendae Sana Na Huu Ni Mwaka Wa Tatu Tangu Tulipoanza Mahusiano Yetu.Kuna Bindi Ametokea Kunipenda Sana Tangu Nikiwa Chuoni Hadi Kufikia Hatua Ya Kunitamkia Hisia Zake Kwangu Kuwa Ananipenda Sana Japo Mie Sikuvutiwa Nae Na Nilimweleza Ukweli Kuwa Ninae Nimpendae Lakini Hakunielewa.Baada Ya Kuhitimu Chuo Aliendelea Na Mawasiliano Na Mimi Na Sasa Amefikia Hatua Ya Kulazimisha Kuja Nilipo Japo Ni Mbali Tena Kwa Gharama Zake,mie Ctaki aje Na Amewashirikisha Rafiki Zangu Kuwa Namtesa Sana Hana Amani Kabisa Mpaka Atakapoonana Na Mimi Na Kusikia Neno Zuri Kutoka Kwangu.Nisaidieni Nifanye Nini?
wewe unataka ufanye nini ?
Anaomba ruhusa kijanja teh teh teh teh
Bindi?? We mwagito eeh?