Soma haya matukio, halafu naomba ushauri

Dogo unazingua sorry nimekwita dogo kwasababu matendo yako hayatofautiani na ya mkeo.

Kifupi ni kwamba mkeo utoto unamsumbua na wewe kama mume hujafit kwenye nafasi yako kama mume ndio maana unapata matokeo kulingana na juhudi zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ternado, Pole sana kaka. Hakuna mwanamke wa kuoa hapo na hiyo familia itakuyumbisha hadi ukonde. Achana nae kama aliwahi kwambia sio lazma mtoto awe na baba muachie kwani watoto wameisha kiunon utazaa wengne huyo muachie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uzoefu wa kuishi ktk ndoa zaidi ya 20yrs my friend hapo unakoelekea ktk hayo mahusiano utakuja kuteseka sana ukikubali kwa namna yoyote kumfanya huyo mwanamke kuwa mkeo. Licha ya kukuendesha hata kabla hamjahalalisha mahusiano yenu hata hiyo familia hawana maadili ya kiafrika kumheshimu mkwe wao mtarajiwa kama maelezo uliyotoa niya kweli. Utaendeshwa kama mkokoteni my friend. Mtunze mwanao na mahitaji muhimu kwa mama mtoto lakini sio kama mke. Jambo moja ukae ukitambua akumulikaye mchana usiku hukuunguza. Kazi kwako.
 
Nikisoma napata tafuatayo. Huyo manzi itakuwa kabebeshwa mimba na mtu mwingine, kwako ilikuwa chaka tu la kuzugia.

Baada ya kupata uhakika na huyo mchiz, akagoma kuendeleza hatua zaidi na wewe. Hapo kajirudishwa kwa sababu za kiuchumi tu.

Picha halisi ni mume mwenzio haeleweki na ndie anaye mzuzua, siku Akisomeka tu. Hutomuona tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…