Soma hapa.

mihadarati

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
269
195
Sijui kama ipo humu ila mtu kanitumia ikanifanya nicheke nikasema niweke humu tucheke wote..

Jamaa alipeleka gari lake kwa fundi lipakwe rangi!
Fundi akauliza lipakwe rangi gani?
Jamaa akasema yeyote isipokuwa nyekundu, nyeupe, bluu, njano, kijani wardi, nyeus, chocketi, kijivujivu, maziwa, zambarau, orange na nyingi nyengnezo akazitaja!
Lini nije kulichukua gari langu?
Fundi akamjibu "Njoo cku yoyote icpokuwa Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamis Ijumaa, J'mosi wala jumapili!
nani mkali hapo?,.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom