kuwa specific ni maeneo gani hasa unataka kufanyia? kama utayaainisha itakuwa rahisi kupewa ushauri,
Wanajamii forum natafuta sehemu ya kufanyia field,nipo chuo kikuu cha dodoma nasomea B.com. Tumepewa wiki 2 ili tutafute sehemu za kufanyia field, kwa sasa nipo hapa Dar nimekuja kutafua hiyo sehemu, and then nikishaipata mwenzi July ndio nitakuja kufanya filed.
Kwa kuwa hapa jamii forums kuna watu wapo kwenye taasisi mbali mbali nimeona ni vyema niwaambie maana mnaweza kunisaidia kupata sehemu.
Mie hapa Dar mgeni sana, nimekulia huko Mbeya,nipo hapa Dar kwa jamaa zangu kwa muda tu.
Natumaini nitapata sehemu kwa kupitia hapa JF.
Mungu awabariki.
Asanteni sana.
Taja jinsia yako tafadhali!!!
Mmh!
rushwaTaja jinsia yako tafadhali!!!
Mhh kivipi ? Hujui kuna office zinaweweka kipaumbele kwa kina mama?