Mkuu Ben, kwanza nakuhurumia sana kwa jinsi unavyojaribu kupuliza manukaro kwenye kinyesi. Ukweli ni kuwa barua ile ilivujishwa kwenye ofisi ya Katibu Mkuu wako kwa madhumuni anayoyajua. Hata Zito alishangaa sana kuona jinsi ile barua ilivyotundikwa humu JF. Ben, wewe unajua kuwa viongozi wanaowasiliana kwa masuala ya kiofisi ni Mbowe, Mnyika na Dr Slaa. Wengine inakuwa ngumu sana na hawaaminiwi. Ndo maana Dr Slaa anavyosafiri ofisi anamwachia John Mnyika na si Zitto Kabwe.Thibitisha kama barua iliyovuja huku ilitoka kwenye ofisi ya katibu mkuu.Hili lilishajibiwa humu mkaambiwa mlete vielelezo kuwa barua hiyo ilitumwa kwa mkono au kwa njia ipi.Hamkuleta mnapiga majungu tu
Hivi na wewe hili ndio jina lako halisi? Wacha uoga na wewe jitambulishe Mwigamba akutambuwe ajuwe ni rafiki yangu fulani ananipa makavu, otherwise tofauti ya wewe na Mwigamba ni ndogo sana.
Mleta mada naye ni mnafiki kama ulivyo wewe. Mbona na yeye anatumia ID Fake?
Mkuu, hakika umeandika jambo la msingi sana. Wahusika wamekusikiaWanahabari wetu Tanzania bado wana safari ndefu sana ya hatimaye kujiita Wanahabari.Taaluma ya Habari Tanzania bado iko chini sana na mabadiliko makubwa yanahitajika kufanyika ili kunyanyua kiwango cha fani hii Tanzania.Hivi huyu anayejiita Mwandishi wa habari ambaye anadai ametumia muda mrefu kutafakari na kuchimba chimba habari huku na kule hatimaye kuibuka na article yenye uchambuzi hafifu kiwango hiki kwa kweli nashindwa nimuweke katika kundi lipi kama ni la Wanahabari wasio na upeo mkubwa wa fani zao au lile kundi la Wanahabari wachumia tumbo wanao andika habari ili kuwafurahisha wale wanaowaweka mjini?Vyovyote vile jibu litakavyokuwa bottom-line Watanzania wanakosa haki zao za kupata taarifa sahihi na za ukweli kuhusu kile kinachoendelea ndani ya Nchi yao kutoka kwa hawa Wanahabari.Sasa nimkumbushe tu huyu Mwanahabari kuwa alichofanya Mwigamba hakina tofauti na alichofanya Edward Snowden wa Marekani.Tusikae kujadili ID feki ya Mwigamba bali tujikite katika HOJA zake,Watz ebu tuwe serious wakati mwingine
Mbowe ni hatari zaidi ya mnyama simba tena kuliko hata hiyo mamlaka unayoisema. Mwigamba hakutaka yamtokee ya Chacha WangweNilijiuliza swali hili bila majibu hasa nilipokuwa nakumbuka Mwigamba aliyezikosoa mamlaka kwa kalamu yake leo anamwogopa Mh Mbowe hadi ana kana jina lake? Hitimisho langu lilibaki kuwa pengine mimi Mbowe namchukulia ndivyo sivyo!
Wewe ni zaidi ya mnafiki sababu, unaongea tu kuwafurahisha ccm na vibaraka wao.
we unawatetea wachaga na chama chao.
Mkuu Ben, kwanza nakuhurumia sana kwa jinsi unavyojaribu kupuliza manukaro kwenye kinyesi. Ukweli ni kuwa barua ile ilivujishwa kwenye ofisi ya Katibu Mkuu wako kwa madhumuni anayoyajua. Hata Zito alishangaa sana kuona jinsi ile barua ilivyotundikwa humu JF. Ben, wewe unajua kuwa viongozi wanaowasiliana kwa masuala ya kiofisi ni Mbowe, Mnyika na Dr Slaa. Wengine inakuwa ngumu sana na hawaaminiwi. Ndo maana Dr Slaa anavyosafiri ofisi anamwachia John Mnyika na si Zitto Kabwe.
Hivi na wewe hili ndio jina lako halisi? Wacha uoga na wewe jitambulishe Mwigamba akutambuwe ajuwe ni rafiki yangu fulani ananipa makavu, otherwise tofauti ya wewe na Mwigamba ni ndogo sana.
Hapo kwenye blue,
Hebu iweke tena hiyo barua tuione, au weka link tuione..!!
Au labda kama kawaida hiyo barua 'itakataa' kuwekwa hapa kwa mara ya pili..!!!
Mwigamba hana lolote anatumiwa tu angekua ana hoja za msingi angewasilisha kwenye vikao.
Ndugu Matola, mbona mashujaa waoga wako wengi humu; kama kaandika habari za kweli kuhusu chama kwa kutumia Id fake, mbona hayuko pekeyake! kama CDM wangekuwa objective ile issue wangepotezea tu kwa sababu "Mkulima Maskini" anaweza kuwa mtu yeyote yule mwenye mapenzi mema kwa ajili ya CDM kama Mwigamba. Mwigamba alikosea lakini kwa ukweli aliouzungumza CDB tubadilike!Hivi na wewe hili ndio jina lako halisi? Wacha uoga na wewe jitambulishe Mwigamba akutambuwe ajuwe ni rafiki yangu fulani ananipa makavu, otherwise tofauti ya wewe na Mwigamba ni ndogo sana.
Tumshukuru Mwigamba kwa kuibua hoja zile maana wengi tusingejua kuwa katiba ya CHADEMA imechakachuliwa au chama hakina akaunti yenye fedha hata moja
Mwigamba pia ametusaidia kujua kuwa Dr Slaa na Mnyika ni waongo na hawana uelewa juu ya Katiba yao
Kusimama mbele ya kundi la watoa roho na kuwaambia ukweli ni ushujaa wa hali ya juu.
Mwigamba ana roho saba kama paka, hafi mara moja.....
... RAMBIRAMBI kwanza . . .