Soma hapa ikiwa unatamani kwenda kuishi Marekani

Nafasi ndio hiyo imetolewa, wataka usaidiwe vipi?
 
Ungefupisha maneno hii ni bahati na sibu ya uraia,hivi kama USA wanapenda raia wa nchi nyingine,kwanini wanazuia raia wa Haiti waliompakani mwao wasiingie USA?Akili za kuambiwa???????
 
Wabongo wengi hawazijui hizi mambo na ukiwaambia wanaona kama unawazingua tu .
Although tuongelee wanaofaham mkuu, hao wasiofaham tzwaweke pembeni.

Yule anayefaham hii kitu aliwahi kukupa mtonyo au kukwambia njoo tujaze, ukitoboa wewe au mimi ndiyo njia ya kufanikiwa?.
 
Maelezo +vigezo vyote hivo apo kwenye form kuhusu DV program.
 

Attachments

  • DV-2022-Instructions-English.pdf
    564.6 KB · Views: 38
Ikimbukwe ili upate green card vigezo na masharti huzingatiwa.
 
Exactly,wengi wameingia kwa gia ya kusoma hapa wengi wanatoka kimaisha kwa njia hiyo kutokana na masharti nafuu ya kufanya kazi hasa chuoni au intern
 
Wa tz wengi hatuna tabia ya kumiliki passport na kwenye huu mchakato ni lazima uwe na passport number. Tofauti na hapo labda uchague option nyingine ambazo naona kwa wengi hazita faa.
Sio hatupendi bali Mamlaka husika zinaona kuwa tukienda huko nje tunafaidi sana so wanaweka vikwazo vingi kuipata ili wote tule msoto hapa ardhi yenye laana ya CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo mkuu hata pa kufikia kuanza maisha hawakupi dah mbona pagumu sana hapo, unajua maisha ya huko sio mchekee ni Aghali kwelikweli alafu unapambana kupata nauli unafika airport huna unaemjua wala huna unakokujua utaanza anzaje sasa. Waache mzaha
 
,kamaliza hapo
 
Ugumu ni pale utakapoombwa uthibitisho wa kuweza kujihudumia wewe mwenyewe na familia yako bila kuwa mzigo kwa Serikali au kama una Sponsor huko...
 
Kwahiyo mkuu hata pa kufikia kuanza maisha hawakupi dah mbona pagumu sana hapo, unajua maisha ya huko sio mchekee ni Aghali kwelikweli alafu unapambana kupata nauli unafika airport huna unaemjua wala huna unakokujua utaanza anzaje sasa. Waache mzaha
Wazungu wanakuja bongo, na hawana ndugu, wewe unashindwa nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…