Solved: App ya JamiiForums imeboreshwa (Android & iOS)..

Mods naomba mnisaidie hili
Mimi natumia jamii forums kwenye tapatalk ni nzuri zaidi
Mbona haina ignore topic kama kwenye tapatalk
 
Asante sana ndugu moderator kwa maelezo yako muhimu !!.

Nishaur kitu kidogo ,, nivema muwe mnatupa taarifa ," kwamba ndugu wateja Wetu kuna maboresho tunayafanya hivo tunaomba samahani kwa usumbufu utakaojitokeza".

Nadhan hiyo ingekua haitupi wasiwasi kwakua tayar akili zetu mmeziandaa lkn hii ya kimya kimya , watu wana Uninstall app ,lkn wapi,sasa tunapata matumizi hasi ya MB !!

Vyuma vimekaza Mkuu.
 
Asante kwa ushauri. Tutazingatia.
 
OP ya kijani INA maana gani?? Tusiwe tunatumia kitu bila kujua.
 
Nitaipata wapi T shirt ya jamii forum?
Mie mdau mkubwa wa (J.F)
 
Naunga mkono hoja wakuu...
Hili tatizo nami linanikabili hata inapelekea kukosa hamu na ladha halisi nilio izowea.
Bila notifications jf members tuna barizi kama vipofu.....
Cc: Invisible na wengine nilio wasahau please mkuje
Hatimaye umerudi avatar yako huwa naiogopa
 
baba yeyoo nimecheka naona notification zimerudi

Hayo matatizo nafikiri mlipata nyie wenye vifaa advanced, sie wa Tecno tunaotumia browser tulikua tunapata kama kawaida. (Ila PM yako sijapata!!!!)
Ukicheka nafurahi ujue...nikutakie mchana mwema Mama Yeyoo
 
msisitizo wa pm yangu hujapata hivi lini unakuja uniletee ubuyu majuzi nilitumiwa ubuyu pakti 3 kuna rafiki yangu mmoja yupo huko anakujaga huku kuleta biashara zake
 
App yenu ni uchafu mtupu sijui kwanini mnahangaika na vitu vilivyowazidi uwezo? Nyie pambaneni na Facebook

app hamuwezi chochote hopeless kabisa
 
Pole sana na changamoto za maisha mkuu.
Binafsi sijaona sababu ya kuandika ulichokiandika.
Hahaha sasa nani mwenye changamoto huu uchafu wenu JF tumekua tukiulalamikia muda mrefu, liapplication lenyewe lina update kila dakika lakini cha maana hukuna, unapata notification za 1000 updates per day with nothing changed. Rubbish
 
msisitizo wa pm yangu hujapata hivi lini unakuja uniletee ubuyu majuzi nilitumiwa ubuyu pakti 3 kuna rafiki yangu mmoja yupo huko anakujaga huku kuleta biashara zake

We nielekeze tu niuache wapi? Utaupata next week. App ikitengamaa unaweza kupata alert PM hata weekend kwamba ubuyu umewasili.
 
Hatimaye umerudi avatar yako huwa naiogopa
Usiiogope comrade, this avatar is very unique and so attractive......
Minipo sana Amigo, ni sababu ya shamba na kilimo kilinipoteza hadi nikauza device.....
 
We nielekeze tu niuache wapi? Utaupata next week. App ikitengamaa unaweza kupata alert PM hata weekend kwamba ubuyu umewasili.
Nikuunganishe na mtu wa huko anayekuja sana huku ni mkaka umpe ye ataniletea akileta biashara zake
 
App yenu ni uchafu mtupu sijui kwanini mnahangaika na vitu vilivyowazidi uwezo? Nyie pambaneni na Facebook

app hamuwezi chochote hopeless kabisa
Haha hamia Twitter kwani ni lazima kutumia Jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…