Solved: App ya JamiiForums imeboreshwa (Android & iOS)..

Asee PM yangu ina shida gani? Manake siwezi kuingia japo kuna wakati watu wananitumia SMS naona tu ziingiapo ila nikitaka kuingia naambiwa Not support module private messages. Mfano Jana ilikubali kwa muda Wa km dk 10 tu baada ya hapo hadi sasa ni shida. Sasa unakuta mtu anatuma SMS inakaa hadi miezi miwili haijibiwi
 
Mkuu nkitaka kutag ndo napata balaa hebu nielekeze jinsi ya kutag may b nkiandika herufi ya kwanza tuu inipe option ya majina yenye herufi hizo maana kuna wadau wanamajina magumu kama ngozi ya goti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeboreshwaje? Je maboresho yamehusisha kufuta thread za kipuuzi za Pro-CCM??? Kama hapana, basi maboresho yaliyofanyika yatakua ya kawaida sana. Hata hiyvo hongereni, kesho navaa T-shirt yangu ya JF
Tshit hzo nazipata wapi na kwa Bei ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…