Solve if you are a genius

3(3x3)3
:
:
jumlisha fungu la kwanza 3+3=6

jumlisha hizo tatu za mwanzoni na mwishoni
3+3=6

Zidisha majibu uliyoyapata i.e 6x6=36

Jibu ni 36..
 
Uko Sawa jibu ni 36 na hata 44x44=64 ambayo vile vile ni sequence ya squre ya even no. Check 2,4,6,8,10.....
 
Hesabu za kitoto sana hizi hata Div 5 anapata haihitaji Genius kusolve.
 
The answer is 36......solution ya yake ni (3+3)X(3+3)=6X6=36.Hata kama math nina bendera(mswaki),hata hili nishindwe wajameni,hayaaa ticha njooo upige pata(tick) hapa!
 
Hee...kumbe majiniaz ni wengi hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…