HNIC
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 1,898
- 2,195
Sitaki kuandia mastori marefu kupoteza muda kwa sababu wananchi wamechoka kusoma magazeti marefu.
Upo ushaidi uliosheheni kuwa ipo colleration kati ya mazingira ya kufanya biashara, Foreign Direct Investment (FDI) inflows na mambo ya International Trade performance.
Wito wangu kwa Mheshimiwa Rais, mpe waziri wako wa Biashara ndugu Mwijage siku 5 kama si siku 7 afanye yafuatayo
1. Wizara hii ifanye overhaul ya ICT system kuanzia kwenye ngazi ya kata mpaka taifa ili iwe rahisi kufungua biashara na isichukue dakika 10 kwa sabau vitambulisho vyote vipo kwenye sistem. Mtu hahitaji ku saini makaratasi luluki kufungua kampuni. Kinachohitajika ni ID na malipo hivyo kila mwenye sim ya mkononi aweze kufungua kampuni ONLINE na kuregister na TRA pia kusichukue dakika 10 mtu kupata TIN number.
2. Bandari na airport bado ni tatizo, clearence ya mizigo isichukue zaidi ya dakika 30. hii ni mizigo ya ndani na nje. Yote haya hayahitaki luluki ya makaratasi kama kweli ICT systems zinafanya kazi...
3. Ondoeni urasimu wa visa za wawekezaji kuungia na kutoka bila longolongo. As a matter of fact ondoeni visa ya watalii kabisaa....pesa za visa zitabaki kwenye matumizi wa hawa watalii wakiiingia ndani. Lakini muhimu zaidi kuna umuhimu wa kuondokana na urasim kwa wageni na wataliii....
4. Mwambieni waziri wa Ardhi Lukuvi aache blah blah....property registration ifanywe online kwa kila mwenye kitambulisho na data zote wekeni ONLINE ili iwe rahisi mtu ku search na kujua kama nyumba au kiwanja au shamba ni la nani, limelipiwa kodi au la na limelipiwa kiasi gani na pia kama mu akitaka kulipa afanye malipo ONLINE kwa kutumia sim yake bila mlolongo wa foleni na mianya ya rushwa kwenda wizara au ofisi ya ardhi.
5. Ondoeni kodi zisiko na kichwa wala miguu kwenye Renewable energy sources kama solar, wind na zinginezo. Point hapa ni ku unleash private sector waweze kuinvest kwenye power generation kwa kutumia hizi nguvu mbadala. issue ilipo ni kuweka wazi PPA na rates na kama vipi binafsisheni part ya TANESCO lakini uweli ni kuwa bila reliable electricy ni ngumu kufika hapo tunakotaka kwenda. As it is TANESCO hawana pesa za kuinvest in power generation lakini si vibaya tukapata workable solution ambayo itakuwa na manufaa kwa wawekezani na serikali na wananchi...
6. Rahisisheni upatikanaji wa documentation za contruction permits.
7. Ombi maalum kwa rais: Iachie wizara ya TAMISEMI ifanyekazi na wapeni wananchi kwenye ngazi za kata, wilaya na mkoa nguvu za kujiamulia matumizi mambo yao na hasa pesa zitokanazo na vyanzo kwenye maeneo husika. Dar/Dodoma iache kuingilia mipango maendeleo na investment huko mikoani
8. Mheshimiwa Rais PIGA MARUFUKU huu ushirikina wa kukimbia na moto wa mbio za mwenge na pesa za ziende kwenye maendeleo na wananchi wafanye kazi