Kwasababu hii ni submissible pump uwezo wa kusukuma ni mkubwa kuliko kuvuta kwahii ina sukuma mita mpka hamsini ila inategemea na mahitaji yako labda kwa kukusaidia ungesema urefu wa kisima ili niangalie utapata maji kiasi ganiMkuu hiyo pump yenu inauwezo wa kuvuta maji mita ngapi kutoka chini mpaka usawa wa ardhi, na kupandisha mita ngapi kwenda juu
Drip kwa heka mnafanya instalation kwa sh ngapi?Solar Water Pump (SP 300)
Product Description/Maelezo.
SP 300 ina:-
1. Solar Panel Mbili
2. Controler moja.
3.Water Source Sensor moja na Water Storage sensor moja
4.Thread Seal tape 5
5.GI socket 1
6.Pressure Connector 4
7.Electric Cable 200 meters
8.Nylon Rope 50 meters
9.Non-Return Valve moja
SP 300 Ni Solar Water Pump zilizotengenezwa kwa ajili ya kilimo yenye uwezo wa kupump mpaka 15500liters/day.
Recommended water source ikiwa 10-15m utaweza kuitumia katika shamba la 1 Acre (4000 sqm) na udongo usiwe sand soil
Ni Pumps Unaweza kutumia kwa mahitaji ya kawaida ya nyumbani.
Bei ni Tsh 3 Mil utaletewa mpk ulipo.
Installation Cost ni maelewano kulingana na mahali ulipo.
Drip Irrigation Kits.
Drip zipo zinajumlisha Main pipe kulingana na shape na ukubwa wa shamba
Drip kuanzia 0.25 Acre( Robo Acre) mpaka 500Acres
Drip Line zenye ubora wa 300micron mpaka 1000micron.
Pia tunatoa ushauri wa Kilimo (Agronomic Support and Training) ambao unaambatana na Training kwa mkulima mdogo mpaka mkulima mkubwa.
Kwa mawasiliano.
0757065007/0688105073.
Urefu wa kisima ni mita 65, jee itanifaa hiyo pump yenu?Kwasababu hii ni submissible pump uwezo wa kusukuma ni mkubwa kuliko kuvuta kwahii ina sukuma mita mpka hamsini ila inategemea na mahitaji yako labda kwa kukusaidia ungesema urefu wa kisima ili niangalie utapata maji kiasi gani
Hii ni ndogo ila ziko pia za ukubwa huo..Nakushauri ufanye Pump test ktk kisima chako ili kujua flowrate ya kisima chako then nione ntakuchagulia na kukuuzia pump umeme au solar kutoka Franklin Electric made in USAUrefu wa kisima ni mita 65, jee itanifaa hiyo pump yenu?
Drip kit pamoja Na ufungaji kwa ekari moja sh ngapi mkuuUnataka DripKits pamoja na gharama za ufungaji?
Hizo ni gharama za ufungaji ukiwa na Drip kits yako
Nataka kulima tikiti heka 4Ukubwa wa shamba ni kiasi gani?
Zao gani unalima?