Solar power inauzwa

Solar power inauzwa

old traford

Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
35
Reaction score
1
Nauza solar power
Ukubwa: watt 60,battery N 100,Controller na waya wenye urefu wa mita 10
Sababu ya kuuza:tumeunganishiwa umeme wa tanesco thus why nimeama kuiuza.
Bei: laki sita
Nipo chamazi
Mawasiliano:0755 199828 au 0687 949757
 
ina washa tv! taa ngapi! friji! ni pm majibu
 
Nauza solar power
Ukubwa: watt 60,battery N 100,Controller na waya wenye urefu wa mita 10
Sababu ya kuuza:tumeunganishiwa umeme wa tanesco thus why nimeama kuiuza.
Bei: laki sita
Nipo chamazi
Mawasiliano:0755 199828 au 0687 949757

Nakushauri usiuze, mgao ukianza utaikumbuka. Tanesco sio solution ya umeme Tanzania. Wekeza kwenye solar hutojuta milele.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom