heheheh Anna hiyo ni kwa ajili ya kuchajia smart phones na small accessories like psp nd small lights .
kuna mtu aliwahi kutuuzia kwa tsh elfu 80 tu,punguza nichukue moja
ina uwezo gani?yani inawasha taa ngapi?
heheheh Anna hiyo ni kwa ajili ya kuchajia smart phones na small accessories like psp nd small lights .
Asante mkuu
Mkuu huu mzigo bado upo ??
Napatikana Dar, mikoani tunatuma au km una mtu unaeza muagizia nikampatia yy ndo akutumie.Unapatikana wapi mkuu? Wengine tuko mkoani tunapataje?