N nyano Senior Member Joined Mar 8, 2013 Posts 132 Reaction score 129 Jul 20, 2015 #1 Kwa sasa nipo Tarime, nahitaji Solar Panel kwa ajili ya matumizi ya kawaida kama lighting, radio, na ku charge simu. Naomba kwa wauzaji wa Mwanza, hii ni fursa kwani kuna demand kubwa sana.
Kwa sasa nipo Tarime, nahitaji Solar Panel kwa ajili ya matumizi ya kawaida kama lighting, radio, na ku charge simu. Naomba kwa wauzaji wa Mwanza, hii ni fursa kwani kuna demand kubwa sana.
N nyano Senior Member Joined Mar 8, 2013 Posts 132 Reaction score 129 Jul 20, 2015 Thread starter #2 Hizo ndo specification jaman naomben msaada kwan nikifankisha hii kutakua na dil nyingne nying na huenda ukapata masoko zaidi huku
Hizo ndo specification jaman naomben msaada kwan nikifankisha hii kutakua na dil nyingne nying na huenda ukapata masoko zaidi huku
M MZAWA JF JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 4,711 Reaction score 4,228 Jul 20, 2015 #3 nyano said: Hizo ndo specification jaman naomben msaada kwan nikifankisha hii kutakua na dil nyingne nying na huenda ukapata masoko zaidi huku Click to expand... kuna jamaa wanauza solar za ukweli za kijeruman lakn wapo dar
nyano said: Hizo ndo specification jaman naomben msaada kwan nikifankisha hii kutakua na dil nyingne nying na huenda ukapata masoko zaidi huku Click to expand... kuna jamaa wanauza solar za ukweli za kijeruman lakn wapo dar
N nyano Senior Member Joined Mar 8, 2013 Posts 132 Reaction score 129 Jul 20, 2015 Thread starter #4 Dar issue ya usafir c ita add cost sna. mikoa ya jirani itakua vzur zaid