SNL SOLAR LTD
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 205
- 26
Mnaogopa sana kuweka price tags ama vipi mkuu?
Hapa ndipo mnapokorofishania na wateja wenu...
Biashara yetu sio ya kijanja ndio mana tunaofisi na tunakupatia warranty ya maandishi then any payment unapewa lisiti zako pia Nashukuru sana kwa maoni yako tutalizingatia hilo asanteHizi Biashara Nahisi Kama Ni Janjajanja
Wekeni Sifa Ya Freezer Pia Bei Yake
Unaweza Kukuta Unapigiwa Simu Sana Kuuliza Bei Tu.
bei zipo za aina tofauti, next time tutakua tunapost kila aina ya fridge na price yake tunashukuru kwa maoni yakoWeka bei mkuu. Usipoweka tutapita tu.
Asante mkuu tutawekaHili ndio tatizo,
Yaani wanahofia Competitors wenzao,wakati hata hao competitors wanaweza kuwapigia sim na wakajua bei zao.
Unaweza kukuta watu wanaona bei kama ni kubwaaa kimtizamo kumbe ukiweka bei yeye anaweza kuona ndogo na watu wakakutafuta.
Freezers hizi hata watu wa mjini wananunua kwa kuhofia huu umeme wa kukatika hovyo.So Soko ni kubwa.
Mie nakumbuka kuna kijiji nilienda nilikuta watu wana Fridges za Mafuta ya taa niliganda,na ninatoka mjini na sikujua kama kuna fridges za namna hiyo.Kuja kufuatilia kumbe walioanzisha teknolojia hiyo wao walianzia vijijiji kwanza,bila kujua hata mjini mahitaji yake yangekuwa makubwa sana kwa umeme wetu huu wa kukatika katika,hatimaye teknolojia hiyo imefia hukohuko vijijini.
Weka bei
Asante. Fridge au freezer zinauzwa tofauti tofauti na panels pamoja na battery na charge controller so mteja akihitaji complete set anapatiwa total cost ya complete set pamoja na labor fee. ZINATUMIA DIRECT CURRENT (DC)Ni Watts ngapi ? kwahio mnauza fridge na freezer peke yake au mnauza fridge na freezer pamoja na panels za solar na battery ?
Kwahio hizi ni fridge za direct current hence unaweza kutumia kwa battery yako ya gari bila inverters ?
Maswali hayo yote yangeweza kujibiwa kwenye tangazo lako kama lingekuwa na specs pamoja na bei, hence ingenipunguzia usumbufu mimi kuuliza hapa tungekuwa tuna-bargain tu bei ya kuomba unipunguzie au kuongelea mode of payment
Kwa uzoefu wako ili fridge hii ya 238L ili niweze kuitumia daily bila shida yoyote kwa jua letu la kawaida hata siku za mawingu mawingu nahitaji panel ya watt ngapi na battery ya Ampere hours ngapi (at a minimum)Asante. Fridge au freezer zinauzwa tofauti tofauti na panels pamoja na battery na charge controller so mteja akihitaji complete set anapatiwa total cost ya complete set pamoja na labor fee. ZINATUMIA DIRECT CURRENT (DC)
Mfano tuna fridge za kuanzia litre 80 mpaka litre 238. kuna brand za aina mbili nakutajia price zake bila vifaa vingne
1.prosolar litre 80= 1.2m, 138L=1.5m, 176L=1.8m na 238L=2.5m
2. Beeir 188L=2m, 208L=2.2m na 238L=2.5m
jehova.......!!
too expensive
Acha Pombe,
Umeambiwa ni Fridge/Freezers la kutumia Solar Power.
We unajua Bei ya Fridge au Freezer?au ndio nyie mmezoea kununua used vimeo.
Halafu nyie ndio wale wapangaji Msionunua vitu kila siku kuomba kwa Jirani hadi maji ya Kunywa,aisee mnaboa nyiee kwenye nyumba za kupanga.
Bei ni ya kawaida kwa mwenyekujua bei za fridges na Freezers mpya,na bei ya Solar.