simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,764
- 9,674
Soma link - Battery inayo uwezo wa kuhifadhi UNIT 7(7 KWH) zinatosha kabisa matumizi ya usiku.TATZO UMEME WA SORAL HAUKIZI MAHITAJI KABISAA
Mkuu simplemind
Nakuhakikishia Tanesco watakuwa kama Dawasco.
Unajua ukichimba kisima kwako inabidi kulipia. Sio kwamba unalipia kwa aliyechimba kisima bali kwa serikali.
Sehemu ambazo hata miundombinu ya maji hamna lakini wao wanaona raha kuchukua hela kwa waliochimba visima.
Tanesco kwa sasa hivi wanaloose biashara. Kuna makampuni sasa hivi wanakuunganisha Na umeme jua halafu unakuwa unalipia kwa awamu.
Tunapoenda, Tanesco wasipopata mawazo mbadala na wakiachia watu wawekeze kwenye umeme mbadala
bila kodi, nakuambia wameumia.
sio kweli kabisa...labda kwa wateja wa D1 na waliowengi tanzania ni kuanzia daraja la T1 T2 naku kuendelea ambao matumizi huzidi 75units/mwezi....solar na takataka nyingine bado ni kikwazo kwa wateja hao haitakidhi mahitaji kabisa labda uweke solar ya milioni 20 huko...na bado cost itakuja kwa battery ambazo hubadilidhwa kila baada ya mda fulani...Mkuu simplemind
Nakuhakikishia Tanesco watakuwa kama Dawasco.
Unajua ukichimba kisima kwako inabidi kulipia. Sio kwamba unalipia kwa aliyechimba kisima bali kwa serikali.
Sehemu ambazo hata miundombinu ya maji hamna lakini wao wanaona raha kuchukua hela kwa waliochimba visima.
Tanesco kwa sasa hivi wanaloose biashara. Kuna makampuni sasa hivi wanakuunganisha Na umeme jua halafu unakuwa unalipia kwa awamu.
Tunapoenda, Tanesco wasipopata mawazo mbadala na wakiachia watu wawekeze kwenye umeme mbadala
bila kodi, nakuambia wameumia.
ivi vitu sijui mnakopi wapi aisee..ingia lindi, mtwara REA phase ya 2 imepita kote uko....wote waliokua wanatumia solar wametupa takataka izo na kuamia kwa tanesco utasemaje wa tz wanaamia sehemu ambako upatikanaji wwa umeme bado ni mashaka?..kama umedeal vizuri na calculations za solar katika utafutaji wa masaa ya jua...kati ya masaa 24 ondoa 12, ambayo ni usiku..unabaki na 12 ya mchana...ondoa tena 6 ya cloud cover unapata masaa 6...masaa sita tu ndio ya kuipa nguvu solar yako iyo...itegemee kuja keundesha motor pump, ac friji,friza, cooker, heater, ...Maendeleo makubwa katika kuhifadhi nishati ya jua itapelekea watanzania wengi kutotegemea umeme wa TANESCo. Teknologia ya kuhifadhi nishati jua kwenye battery imeimarika kikwazo ni bei ambayo bila shaka itapungua na muda.
Explained: The Tesla Powerwall and what it means for Australia's energy market - ABC News (Australian Broadcasting Corporation)
Kwa taarifa yako tu kumuumiza tanesco ni kama unataka kumuumiza baba yako. Kwa mteja mmoja mmoja tena vijijini kwa asilimia kubwa na ndogo vijijini hiyo sawa. Lakini biashara ya tanesco mbali na wateja wa T1 ambao ndio wengi zaidi lakini wale wa T2 na T3 bado ndio wanaitegemea tanesco. Mfano wateja wa T2 50 na T3 50 wanaweza lipa mshahara wa wafanyakazi wote kwa mwezi kwa jinsi wanavyotumia umeme mwingi. Pia kuna hizi kampuni ambazo zina zalisha umeme kwa any resource na kuhudumia wananchi at bulk zinakuwa regulated na tanesco unless mteja solar power na single customer.Mkuu simplemind
Nakuhakikishia Tanesco watakuwa kama Dawasco.
Unajua ukichimba kisima kwako inabidi kulipia. Sio kwamba unalipia kwa aliyechimba kisima bali kwa serikali.
Sehemu ambazo hata miundombinu ya maji hamna lakini wao wanaona raha kuchukua hela kwa waliochimba visima.
Tanesco kwa sasa hivi wanaloose biashara. Kuna makampuni sasa hivi wanakuunganisha Na umeme jua halafu unakuwa unalipia kwa awamu.
Tunapoenda, Tanesco wasipopata mawazo mbadala na wakiachia watu wawekeze kwenye umeme mbadala
bila kodi, nakuambia wameumia.
Aisee kaka kuchanganya kwako herufi 'l' na 'r' ni kichekesho kikubwa.TATZO UMEME WA SORAL HAUKIZI MAHITAJI KABISAA
Naona Wewe mzito wa kufahamu pamoja na maelezo hadi ya kitaalamu niliyo post hapo juu. Pia zingatia Tanzania ipo jirani na equator hivo nishati ya jua ni kubwa zaidi. Kwa mtizamo chana hii ni vita kati ya distributed na centralised generation. Advances in solar photo voltaic cells na power storage bila shaka distributed system ndio future. Kumbuka pia hatua kubwa zimepigwa katika fuel cell technology(direct conversion of chemical energy to electrical energy). Bila shaka development of efficient fuel cell itakuwa pigo takatifu kwa centralized generation .ivi vitu sijui mnakopi wapi aisee..ingia lindi, mtwara REA phase ya 2 imepita kote uko....wote waliokua wanatumia solar wametupa takataka izo na kuamia kwa tanesco utasemaje wa tz wanaamia sehemu ambako upatikanaji wwa umeme bado ni mashaka?..kama umedeal vizuri na calculations za solar katika utafutaji wa masaa ya jua...kati ya masaa 24 ondoa 12, ambayo ni usiku..unabaki na 12 ya mchana...ondoa tena 6 ya cloud cover unapata masaa 6...masaa sita tu ndio ya kuipa nguvu solar yako iyo...itegemee kuja keundesha motor pump, ac friji,friza, cooker, heater, ...
Usizungumzie solar unazoziona sasa. Kuna tech mpya kampuni ya Tesla wamebuni ambayo ni roofing material(tiles) more efficiency vilevile wanakuja tech nyngine ya utengenezaji wa barabara ambazo zitakuwa zinavuna solar energyivi vitu sijui mnakopi wapi aisee..ingia lindi, mtwara REA phase ya 2 imepita kote uko....wote waliokua wanatumia solar wametupa takataka izo na kuamia kwa tanesco utasemaje wa tz wanaamia sehemu ambako upatikanaji wwa umeme bado ni mashaka?..kama umedeal vizuri na calculations za solar katika utafutaji wa masaa ya jua...kati ya masaa 24 ondoa 12, ambayo ni usiku..unabaki na 12 ya mchana...ondoa tena 6 ya cloud cover unapata masaa 6...masaa sita tu ndio ya kuipa nguvu solar yako iyo...itegemee kuja keundesha motor pump, ac friji,friza, cooker, heater, ...
hiyo ni kinadharia zaidi mkuu...kivitendo kwa tz hii sahau..tanesco ataendelea kua baba wa umeme..utake usitake.Naona Wewe mzito wa kufahamu pamoja na maelezo hadi ya kitaalamu niliyo post hapo juu. Pia zingatia Tanzania ipo jirani na equator hivo nishati ya jua ni kubwa zaidi. Kwa mtizamo chana hii ni vita kati ya distributed na centralised generation. Advances in solar photo voltaic cells na power storage bila shaka distributed system ndio future. Kumbuka pia hatua kubwa zimepigwa katika fuel cell technology(direct conversion of chemical energy to electrical energy). Bila shaka development of efficient fuel cell itakuwa pigo takatifu kwa centralized generation .
kabisa solar bado sana...efficiency ya solar ni ndogo mno...battery pia ni tatizoMkuu rea wame install solar panel kuanzia Wat 200 mpaka 360 Lakin moto wake ni hewaa tuu.... Kdogo tu umeisha
Kuwezekana inawezekana....ni swala la culculations na ela tu...uko porini kuna mahotel yanatumia sola...unakuta kuna panels za 120w kama 90 ivi na battery bank ya kutosha.ivi vitu sijui mnakopi wapi aisee..ingia lindi, mtwara REA phase ya 2 imepita kote uko....wote waliokua wanatumia solar wametupa takataka izo na kuamia kwa tanesco utasemaje wa tz wanaamia sehemu ambako upatikanaji wwa umeme bado ni mashaka?..kama umedeal vizuri na calculations za solar katika utafutaji wa masaa ya jua...kati ya masaa 24 ondoa 12, ambayo ni usiku..unabaki na 12 ya mchana...ondoa tena 6 ya cloud cover unapata masaa 6...masaa sita tu ndio ya kuipa nguvu solar yako iyo...itegemee kuja keundesha motor pump, ac friji,friza, cooker, heater, ...
sio kweli kabisa...labda kwa wateja wa D1 na waliowengi tanzania ni kuanzia daraja la T1 T2 naku kuendelea ambao matumizi huzidi 75units/mwezi....solar na takataka nyingine bado ni kikwazo kwa wateja hao haitakidhi mahitaji kabisa labda uweke solar ya milioni 20 huko...na bado cost itakuja kwa battery ambazo hubadilidhwa kila baada ya mda fulani...
ivi vitu sijui mnakopi wapi aisee..ingia lindi, mtwara REA phase ya 2 imepita kote uko....wote waliokua wanatumia solar wametupa takataka izo na kuamia kwa tanesco utasemaje wa tz wanaamia sehemu ambako upatikanaji wwa umeme bado ni mashaka?..kama umedeal vizuri na calculations za solar katika utafutaji wa masaa ya jua...kati ya masaa 24 ondoa 12, ambayo ni usiku..unabaki na 12 ya mchana...ondoa tena 6 ya cloud cover unapata masaa 6...masaa sita tu ndio ya kuipa nguvu solar yako iyo...itegemee kuja keundesha motor pump, ac friji,friza, cooker, heater, ...