nkyandwale
Member
- Feb 8, 2011
- 64
- 14
1.Nipo ngangari kuhoji 5. Miguu mashakani
Vazi la soksi na uvaaji ! Haifai matembezini
2. Sitambui kushoto wala kuliya 6. Soksi mwavaaje
Miguu ndani ikitumbukiya ! Nyie mwazipatiaje
3. Vazi hili halina ghali 7.Wengi miguu vibutu !
Hasa hutegemeya dalali Imemezwa na kurutu
4. Miguu kuota kuvu 8. Wanazuo nipe jibu
Yenye kujaa kovu Nisibaki na majipu.:rain: