code_cobar
Member
- Jul 16, 2016
- 96
- 14
Unamaanisha jinsia yangu , ok mimi ni mvulana.Mwanamke?
ivo kumbe hujui kam UDSM watu wanasoma sana na kudisco sana kuliko hat SUA mkuu?? au haujui.karbu kjana etu uje umeshba sua syo udsm
Mbona umesema hivo mkuu unamaanisha ni field rahisi hiyo agribusiness?AGRIBUSINESS beibii
Nimekuelewa mkuu natambua wajibu na hiyo agribusiness inazungumziwaje apo chuoni.Karibu kijana SUA ni rahisi kama utakuwa panctual na kusoma hayo mengine ni kutishana tu.Karibu mazimbu
Mbona umesema hivo mkuu unamaanisha ni field rahisi hiyo agribusiness?