Soko zuri la tangawizi ni wapi wadau? Msaada!

Joined
Feb 25, 2016
Posts
31
Reaction score
27
Hbr za asubuh wana Jamii..
kama kichwa cha hbr kinavosoma. mimi na wenzangu watatu tumelima tangawizi takribani heka 8.Na ninavoandika huu ujumbe, ni kwamba mzgo uko tayari kuvunwa kule Songea.
Changamoto kubwa nikwamba nimekua nacheki bei sokoni naona zinasoma 2000 kwa kilo wakati ununuaji wa mbegu pekee wakati wakupanda ile januari ilitugharimu 2500 kwa kilo.
je niwapi soko zuri naweza pata ili hata pesa irudi yani atleast kuuza kwa 3000 kwa kilo au nini nifanye niweze kuuza kwa faida nzuri.
Nawasilisha!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dar ni 1000. nasikia wao wananunua 600 shambani.

duhu fafafanua mkuu yani kama ukinunia 1kilo ukiipanda inatoa hiyohiyo
 
Hbr za asubuh wana Jamii..
kama kichwa cha hbr kinavosoma. mimi na wenzangu watatu tumelima tangawizi takribani heka 8.Na ninavoandika huu ujumbe, ni kwamba mzgo uko tayari kuvunwa kule Songea.
Changamoto kubwa nikwamba nimekua nacheki bei sokoni naona zinasoma 2000 kwa kilo wakati ununuaji wa mbegu pekee wakati wakupanda ile januari ilitugharimu 2500 kwa kilo.
je niwapi soko zuri naweza pata ili hata pesa irudi yani atleast kuuza kwa 3000 kwa kilo au nini nifanye niweze kuuza kwa faida nzuri.
Nawasilisha!!

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nielekeze mimi huko wanakouza kilo moja 2000
 
Namimi nifahamishe wapi inanunuliwa kwa 2000.

Sasa hivi kwa Dar hata ukimpata Mnunuzi wa Buku tu kwa kilo- katambike.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom