soko ya pembe za n'gombe

Parrot_2024

Member
Joined
Dec 16, 2017
Posts
63
Reaction score
28
Habari zenu,

Naomba kama kuna mtu yoyote anaweza kunipa information ya watu wanonunuwa pembe za n'gombe na wananunua kwa bei gani kwa kila kilo. Nilishawahi kuskia kuna kiwanda kipo Dar cha wa China wanao nunua hizo pembe za n'gombe kwa watu.
So nahtaji kujuwa soko la pembe za n'gombe liko wapi
Asanteni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…