naona kila ikitokea soko kuungua ajali ya ndege inafuatia.
hii ni mara ya pili kwa ajali ya ndege kutokea mkoani mbeya ambapo mtu mmoja amepoteza maisha na wengine kujeruhiwa.
naona kila ikitokea soko kuungua ajali ya ndege inafuatia.
hii ni mara ya pili kwa ajali ya ndege kutokea mkoani mbeya ambapo mtu mmoja amepoteza maisha na wengine kujeruhiwa.
Weka sawa habari broda.. Ungesema soko lipi limeungua, na ndege ipi imeanguka!
Kwa habari nilizopata ni kwamba ndege ndogo aina ya c206 (6seter) ilianguka jana kwenye eneo la mashamba ya shirika la Kilimo UYOLE.
nDEGE HIYO ILIKUWA IMEENDA KUMCHUKUA MGONJWA ILI KUM'RUSH Dar kwa matibabu, lakini bahati mbaya ilipata hitilafu mara baada ya kupaa, ikaanguka huku aliyekuwa mgonjwa akipoteza maisha palepale, na watu wengine wawili kujeruhiwa,mmojawapo akiwa ni rubani.