Soko likiungua Mbeya, ndege zinaanguka

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,059
4,053
naona kila ikitokea soko kuungua ajali ya ndege inafuatia.
hii ni mara ya pili kwa ajali ya ndege kutokea mkoani mbeya ambapo mtu mmoja amepoteza maisha na wengine kujeruhiwa.
 
nadhani moshi wa kuungua soko unakuwa unawachangana marubani wanapokuwa angani
 
naona kila ikitokea soko kuungua ajali ya ndege inafuatia.
hii ni mara ya pili kwa ajali ya ndege kutokea mkoani mbeya ambapo mtu mmoja amepoteza maisha na wengine kujeruhiwa.
Weka sawa habari broda..
Ungesema soko lipi limeungua, na ndege ipi imeanguka!

Kwa habari nilizopata ni kwamba ndege ndogo aina ya c206 (6seter) ilianguka jana kwenye eneo la mashamba ya shirika la Kilimo UYOLE.

nDEGE HIYO ILIKUWA IMEENDA KUMCHUKUA MGONJWA ILI KUM'RUSH Dar kwa matibabu, lakini bahati mbaya ilipata hitilafu mara baada ya kupaa, ikaanguka huku aliyekuwa mgonjwa akipoteza maisha palepale, na watu wengine wawili kujeruhiwa,mmojawapo akiwa ni rubani.

Kwa bahari nzuri ndege hiyo haikuwaka moto.
 
Well na ni juzi tu imetokea ajali ya ndege maeneo ya Uyole na leo tunasikia soko la sido linawaka moja. Nafikiria.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom