mhogo mwaka huu tumepigwa. maeneo niliko wachuuzi wanaringa hali ya kuwa wananunua 100/= kwa kilo. yaani debe/ndoo ya lita 20 unajziwa kwa 1500 hadi 2,000.
sijui wale wakiowahi kusema China inahitaji tani 600,000 kwa matumizi ya kiwandanj walikuwa wanatania au supply imezidi demand!!!