albert mwakalinga Senior Member Joined Aug 27, 2015 Posts 126 Reaction score 49 Jan 23, 2017 #1 Habari zenu wadau!mi nimelima vitunguu Moshi maeneo ya Chekereni.naulizia soko la vitunguu kwa Zanzibar,Dar na Kenya. Km kuna mtu yupo humu Wa maeneo hayo namuomba.Tusaidiane ktk hili ,nawatakia kazi njema
Habari zenu wadau!mi nimelima vitunguu Moshi maeneo ya Chekereni.naulizia soko la vitunguu kwa Zanzibar,Dar na Kenya. Km kuna mtu yupo humu Wa maeneo hayo namuomba.Tusaidiane ktk hili ,nawatakia kazi njema