Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,578
- 28,701
Wakuu na wadau wa kilimo..
Ningependa kuelewa soko la VIAZI vitamu Dar es salaam likoje. Mara nyingi zao hili linalimwa na kuvunwa kwa msimu hasa miezi ya kiangazi, je soko lake nalo ni kwa msimu au ni kwa mwaka mzima??..
Suala la pili ni bei, Kwa kilo moja au fungu moja bei yake ni kiasi gani kwa hapa DAR es salaam??
Production ya zao hili wataalamu wa kilimo wanadai ni tani 12 kwa hekari moja au tani 30 kwa hekta na production cost yake iko chini sana kulinganisha na mazao mengi...
Naomba kuwasilisha