Ni matumain yangu mu-wazima wa afya!
Natarajia kuvuna viazi mviringo mwanzo wa mwezi March, yeyote ajuaye soko zuri au kusaidia kupata taarifa ya soko zuri anisaidie/tuwasiliane.
Nimelimia njombe.
Hongera sana viazi ni pesa,jitahidi visikutane na mvua za masika,SOKO PAKIA TERUMUSHA BUGURUNI./
Vijana wa ilala,kariakoo,kinondoni wanakula sana chips.
Kwahy mkuu unataka kusema kulima bila kujua wapi pa kupeleka mzigo ni tatizo! !so akishajua pa kupeleka mzigo then anafika anakuta soko la hovyo je afanye nini. kilimo ni kujitoa na masoko hua hayaeleweki