Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,565 Reaction score 9,758 Apr 9, 2020 #1 Habari wanazengo Naomba kuuliza kuhusu Soko la unga wa ndizi kwa Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla . Je soko lipo na matumizi yake hasa hasa ni yapi nataka kujua kuhusu hii bidhaa. OneLove Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wanazengo Naomba kuuliza kuhusu Soko la unga wa ndizi kwa Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla . Je soko lipo na matumizi yake hasa hasa ni yapi nataka kujua kuhusu hii bidhaa. OneLove Sent using Jamii Forums mobile app