Hii kitu inasoko JAPAN...INDIA... na
Falme za Kiarabu tatizo huko zinatakiwa Tani nyingi kwa mkulima mmoja ningumu KUMEET...ukiwaambia Wabongo tufanye umoja inakuwa ngumu hapo ndipo mkwamo ulipo
....peke yako utaishia kuwauzia WAHINDI kwa Bei wanayotaka wao...