Husika na kichwa cha habari hapo juu, wakuu ningependa kujuzwa bei stahiki za ufuta ama soko lake kwa kuuza kwa jumla Dar es Salaam.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa wakuu.