Soko la ufuta kwa Dar es salaam

Soko la ufuta kwa Dar es salaam

banalunda

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
231
Reaction score
67
Wakuu Habarini za majukumu?

Husika na kichwa cha habari hapo juu, wakuu ningependa kujuzwa bei stahiki za ufuta ama soko lake kwa kuuza kwa jumla Dar es Salaam.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa wakuu.
 
jiongezeni uongezeeni samani ndio muuze mnauza mkavumkavu kutoka shambani wahindi watawapangia bei mpakaaaa
 
Back
Top Bottom