Soko la strawberry

Kamongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2009
Posts
2,361
Reaction score
2,718
Naomba kwa yeyote anayefahamu soko la strawberry hapa Tanzania,nimepanda maeneo ya hedaru nitavuna mwezi wa tano nilipanda kwa majaribio Naona zimekubali
 
Tafuta Masaki kwenye masupermarket ya makanjibai unaweza kubahatika mkuu,huwa naziona sana humu kwenye haya masupermarket,

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Naomba kwa yeyote anayefahamu soko la strawberry hapa Tanzania,nimepanda maeneo ya hedaru nitavuna mwezi wa tano nilipanda kwa majaribio Naona zimekubali

pliz..waweza kunitumia mamba yako ya CMU tuwacliane..mine is 0767851492
 
Naomba kwa yeyote anayefahamu soko la strawberry hapa Tanzania,nimepanda maeneo ya hedaru nitavuna mwezi wa tano nilipanda kwa majaribio Naona zimekubali

Kaka mm nataka kuhua bei yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…