soko la 'red garnet'

tisa desemba

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
434
114
wadau nina mawe ya red garnet kama kilo 3 hivi, natafuta soko zuri la kuyauza... .

naomba msaada wenu kwa anayewajua wanunuzi...
 
wadau nina mawe ya red garnet kama kilo 3 hivi, natafuta soko zuri la kuyauza... .

naomba msaada wenu kwa anayewajua wanunuzi...
Umeyaiba? Kama ni biashara yako kwa nini usijue lilipo soko? Mambo yote kwenye mtandao baba. Kama unataka wanunuzi wa uso kwa uso umeliwa.
 
Umeyaiba? Kama ni biashara yako kwa nini usijue lilipo soko? Mambo yote kwenye mtandao baba. Kama unataka wanunuzi wa uso kwa uso umeliwa.

sijaiba ndg, mi ni mchimbaji mdogomdogo, soko la kwenye mtandao nimepeta but wanahitaji mengi sana, soko lipo kenya, china, thailand, singapore etc, kwa mzigo huu ni hasara kusafiri mpaka huko...nahitaji wanunuzi wa nyumbani ambao wanakusanya mzigo mkubwa kwa ajili ya kusafirisha.
 
Ni PM Bei yako na specifications zake.
Kama upo Dar I can help kupata soko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom