mtamanyali
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,161
- 616
Soko la mbuzi lipo vingunguti kiembe mbuzi mbele ya tazara unaingia kulia,bei inategemea na size sema ina range from 40---80000/=
asante nduguSoko la mbuzi lipo vingunguti kiembe mbuzi mbele ya tazara unaingia kulia,bei inategemea na size sema ina range from 40---80000/=
sawa ndugu ila kwa sasa nipo singida so nilikuwa nataka japo ABC kwanza ila lazima niende kuangaliaNjoo dar kama hauko Dar,kisha nenda Pugu mnadani kajionee mwenyewe, pita vingunguti ukajionee. Baada ya hapo anza mikakati hiyo.
sawa ndugu ila kwa sasa nipo singida so nilikuwa nataka japo ABC kwanza ila lazima niende kuangalia
Mkuu malila nakutafuta sana mkuu!Nilikushauri uende Pugu mnadani ili ukaangalie mambo yafuatayo, mosi, mbuzi wako watashushwa wapi, mikononi mwa madalali au utakomaa mwenyewe? Wizi wa mifugo pale mnadani ni suala la pili, la tatu ni taratibu za usafirishaji mifugo unatakiwa uzijue ili kuepuka usumbufu.
JF ni zaidi ya shule! thanks ndugu, ubarikiwe sanaNilikushauri uende Pugu mnadani ili ukaangalie mambo yafuatayo, mosi, mbuzi wako watashushwa wapi, mikononi mwa madalali au utakomaa mwenyewe? Wizi wa mifugo pale mnadani ni suala la pili, la tatu ni taratibu za usafirishaji mifugo unatakiwa uzijue ili kuepuka usumbufu.
Mno.. I'm missing itJf ya zamani ilikua tamu kama mcharo
Achana na hiyo biashara heri ununue na kuwauzia huko huko mkoa...dar hiyo biashara ina changamoto nyingi...Habari zenu wana Jf, Jamani mwenzenu nataka nifanye biashara ya kuuza mbuzi kutoka mikoa ya kati kuja dar, wenye uzoefu naomba mnisaidie kufahamu soko la Mbuzi yaani bei yake kwa wastani pamoja na uzoefu wowote ambao mnaona utanisaidia. Nawasilisha.