Kama wewe ni mkulima au mfanya biashara wa mboga mboga.. cabbage,sukuma wiki,Chinese nakadhalika...huu ndo mda wako wa kupiga hela kama wale wazee wa kubet...sijui wale vegetarian wameongezeka au ni lile somo la eat healthy limewakolea...
Uko eneo lipi la nchi? ni kipindi ambacho uzalishaji wa mboga mboga kwa maeneo mengi ya nchi yetu upo chini.
Kinachouzwa leo hakikuzalishwa kwa mvua bali umwagiliaji.Wakulima halisi wanajua ila wa mtandaoni hata hawajui sasa watageukia bei juu sokoni serikali iwasaidie kupunguza bei.
Kama wewe ni mkulima au mfanya biashara wa mboga mboga.. cabbage,sukuma wiki,Chinese nakadhalika...huu ndo mda wako wa kupiga hela kama wale wazee wa kubet...sijui wale vegetarian wameongezeka au ni lile somo la eat healthy limewakolea...
Kilimo cha mboga mboga ni kilimo cha umwagiliaji..ni mara chache sana ukute mtu analima mboga mboga kwa kutegemea mvua...mboga hazina msimu useme ulime mvua ikinyesha

Yaaah Ila Wakulima wengi Hulima Kando kando Ya Vyanzo Vya Maji Ambavyo Kwa Sasa Havipitishi Maji kwa Sababu Mvua Hakuna Ndo Maana Unaona Mboga Zipo Juu