Soko la maziwa ya mbuzi

Soko la maziwa ya mbuzi

mitto

Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
7
Reaction score
1
Habarini wadau,naomba mwenye info kuhusu soko la maziwa ya mbuzi,ninataka kufuga na nimeona nifanye research ya soko kwanza.nataka kufugia mlandizi,pwani.
Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbegu nzuri ya mbuzi wa maziwa umejua inapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom