Soko la mawe ya Green aventure linatafutwa.

Joined
Jul 8, 2017
Posts
95
Reaction score
29




Natafuta mtu anaehitaji mawe ya Green Aventure au mtu anayeweza kuniunganisha na soko tukafanya biashara. Mawe haya nnayo mengi na kama yakihitajika zaidi naweza kuyachimba. Mawe yapo Mkoani Manyara-wilaya ya Babati.Karibuni.
 



Natafuta mtu anaehitaji mawe ya Green Aventurine au mtu anayeweza kuniunganisha na soko tukafanya biashara. Mawe haya nnayo mengi na kama yakihitajika zaidi naweza kuyachimba. Mawe yapo Mkoani Manyara-wilaya ya Babati.Karibuni.
 
Mkuu hayo mawe ni green tomarine isipokua hapo yalivyo hayajawiva bado kuwa GERM
Ukizama chini zaidi utakutana nayo
 
Mawe mazuri kazi yake ni nini sijawahi hata kuyaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…