Soko la Mahindi na Maharage

Soko la Mahindi na Maharage

spike

Senior Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
112
Reaction score
15
nina maharage ya uyole 96 (hybrid), ni yale
maharage mekundu. pia tuna mahindi zaidi ya
tani 5000. mwenyewe soko la haya mazao
naomba anijuze. shukrani wakuu
 
mkuu umejaribu kuyapeleka masoko makubwa? kama pale katumba, kariakoo
 
habar wakuu,ninaomba mwenye uelewa na biashara ya mahind huko kariakoo,ni shilling ngapi kwa sasa kwani nina gunia 500,ilikua nikauze Kenya lakini madereva wanakataa wanadai kuna foleni sana hivyo magari yanachukua hadi wiki nne had kushusha mzigo,naomba msaada wenu ndugu zangu kimawazo hasa kama kunasehem naweza uza mzgo wangu huu mm nipo morogoro.natanguliza shukran zangu za dhati
 
soko kwa sasa lipo chini.......

mimi natafuta shamba la kulima msimu ujao , naomba niunganishie huko morogoro.
 
nina maharage ya uyole 96 (hybrid), ni yale
maharage mekundu. pia tuna mahindi zaidi ya
tani 5000. mwenyewe soko la haya mazao
naomba anijuze. shukrani wakuu
Mahindi unauzaje kwa kilo moja? yapo wapi? yamevunwa/yatavunwa lini?
 
Mwaka huu bei ya mahindi kwa sisi wakulima inatukatisha tamaa...mahindi yameshuka bei sana cjui tatizo nini..wakati nchini kenya nasikia yanahitajika kwa wingi.
 
nenda kamuzie bhakresa au azania co watachukuaa....ila mleta mada kmya tatzo jf wengine wana beep tu
 
habar wakuu,ninaomba mwenye uelewa na biashara ya mahind huko kariakoo,ni shilling ngapi kwa sasa kwani nina gunia 500,ilikua nikauze Kenya lakini madereva wanakataa wanadai kuna foleni sana hivyo magari yanachukua hadi wiki nne had kushusha mzigo,naomba msaada wenu ndugu zangu kimawazo hasa kama kunasehem naweza uza mzgo wangu huu mm nipo morogoro.natanguliza shukran zangu za dhati

nenda kwa bharesa na wewe mkuu au azaniaaa co
 
Nina jamaa yangu ni raia wa Zambia na amechukua tender ya kuingiza mahindi nchini kwao anahitaji kama 5000 metrics tonnes or 166 30 tones truck and trailers! Kwa wafanyabiashara ya usafirishaji waazao nje ya nchi wanaelewa
 
nenda kamuzie bhakresa au azania co watachukuaa....ila mleta mada kmya tatzo jf wengine wana beep tu

wakati mwingine ukiwa huna kitu cha msingi cha kujibu ni bora unyamaze kuliko kulopoka maneno ya kejeri kwa mwenzio.
Mtu anataka msaada wa soko wewe unamwambia amtafute bakresa,is it fair.?think twice na utumie hekima pia,
 
Back
Top Bottom