Soko la madini ya Red Garnet

bullion

JF-Expert Member
Aug 23, 2014
309
112
Wakuu heshima zenu,

Nina madini ya red garnet, nilikuwa natafuta soko kwa haya madini.Mwenye ufahamu ni wapi nitapata wateja ili niweze kufanya nao biashara.

Nawasilisha
 
Vp na soko la aina hii ya change color
 

Attachments

  • TMPDOODLE1463097335521.jpg
    TMPDOODLE1463097335521.jpg
    13.2 KB · Views: 198
Izo ztakusumbua kidoogo kama ni machenga na kama ni pure gem uwe na pc ya kuanzia gramme 10 an ubove !!
 
Back
Top Bottom