Kofia Baya
Member
- Sep 28, 2017
- 9
- 38
Habari zenu watafutaji wenzangu
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nimeanza kufanya mradi wa kufuga kambale lakini tatizo na changamoto nilizo nazo mpaka sasa bado sijapata soko ambapo wanaweza kuchukua kwa jumla pindi watapokua maana ni bado wadogo na nimejifunza kuzalisha kambale hivyo nahitaji soko ambapo nitaweza kuuza kambale hao pindi watapokua. Napatikana Dar es salaam.
Natanguliza shukrani za dhati