Soko la Hisa Dar es salaam mnatia aibu

Soko la Hisa Dar es salaam mnatia aibu

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
6,996
Reaction score
11,887
Wadau nilikuwa najaribu kuona ni jinsi gani naweza kununua Hisa DSE kwa urahisi, lakini imeshindikana.

Wazo lili nijia la kutengeneze app niwapelekee Kama propoesal ili iwe rahisi kutufikia wateja, lakini baada ya wiki Waka Launch app initwa DSE Hisa Kiganjani; hapa wazo langu likafa.

Cha kushangaza pamoja na kuwa na hii app lakini app yenyewe haifanyi kazi. Inaruhusu kujiunga sida inakuja pale unapotakiwa kuweka code. Email unapokea lakini Code kwenye sms hupati.

Cha kushangaza zaidi ukipiga simu ya customer care hakuna anaye pokea. Hii ni aibu haiwezekani soko pekee tu la Hisa nchini muwe nyuma kitekinologia.

Mna bahati nimetafuta page yenu Twitter imekosa, ninge mtag Hadi baba yenu.
 
Binafsi nimetumia hii app vizuri tu bila tatizo lolote na hisa nimenunua pia successfully.

Ila mkuu, ungetengeneza app yako pia tuone, huenda ingekua bora zaidi kuliko kulalamika bila ushauri wala mapendekezo yoyote. Hujasaidia chochote.
 
Unaweza kujisajili na kununua hisa kupitia ussd code hivi sasa. Piga *152*00# na fuata maelekezo
 
Wadau nilikuwa najaribu kuona ni jinsi gani naweza kununua Hisa DSE kwa urahisi, lakini imeshindikana.

Wazo lili nijia la kutengeneze app niwapelekee Kama propoesal ili iwe rahisi kutufikia wateja, lakini baada ya wiki Waka Launch app initwa DSE Hisa Kiganjani; hapa wazo langu likafa.

Cha kushangaza pamoja na kuwa na hii app lakini app yenyewe haifanyi kazi. Inaruhusu kujiunga sida inakuja pale unapotakiwa kuweka code. Email unapokea lakini Code kwenye sms hupati.

Cha kushangaza zaidi ukipiga simu ya customer care hakuna anaye pokea. Hii ni aibu haiwezekani soko pekee tu la Hisa nchini muwe nyuma kitekinologia.

Mna bahati nimetafuta page yenu Twitter imekosa, ninge mtag Hadi baba yenu.
Una gubu
 
Back
Top Bottom