Tom Gabriel
Member
- Sep 3, 2018
- 17
- 3
dagaa wa mwanza unauzaje? Kwa debe moja? au Kwa gunia?
Debe moja elfu 18dagaa wa mwanza unauzaje? Kwa debe moja? au Kwa gunia?
Ulichelewa sana kujibu best. Ila nitakutafuta ngoja tujadili jambo hapa tukifikia muafaka nitakua nachukua hata debe 60
Sasa hapo ni lazima uwe na connection na mtu huwez kupeleka tu hivi hivi