Soko la dagaa Tabora

Soko la dagaa Tabora

Tom Gabriel

Member
Joined
Sep 3, 2018
Posts
17
Reaction score
3
Shikamooni wakubwa zangu,Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu "soko la dagaa la tabora likoje"?... kwanza kabisa Mimi ni mkazi kutoka mwanza na pia nilisikia kutoka kwa marafiki wa Karibu kuwa dagaa inalipa kwa tabora. Nikaona ni vema basi nilete mada hii jamvini ile hali kma kuna mwenyeji wa tabora anisaidie kwa hili au pia kama kuna yeyote anayefahamu soko la tabora naomba pia aweke comment yake. Kuna dagaa wa kukaanga na wale wa kuanika juani, sijajua ni wapi applicable saana kwa tabora...hilo pia naomba nijuze.
Naomba kuwasilisha kwa home great thinkers. Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda na mzigo utakaokadiria kukurudishia gharam zako, utapata mengi ya uhakika, by the way dagaa inalika karibu aslimia 90 ya watanzania,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom