tst Member Joined Jul 30, 2017 Posts 49 Reaction score 29 Feb 9, 2022 #1 Habari wakuu! Nina dagaa nyama wengi Sana kutoka Tanga,naomba munijuze wapi Kuna SOKO la uhakika kwenye mikoa yetuu.Pia wenye uzoefu wa biashara hii kwa mikoani. View attachment 2113787
Habari wakuu! Nina dagaa nyama wengi Sana kutoka Tanga,naomba munijuze wapi Kuna SOKO la uhakika kwenye mikoa yetuu.Pia wenye uzoefu wa biashara hii kwa mikoani. View attachment 2113787
Medecin JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,584 Reaction score 23,572 Feb 9, 2022 #2 Mimi nataka lile vumbi la dagaa kwa ajili ya kuku unauzaje kwa kilo moja moja
The Dictator JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 4,347 Reaction score 11,849 Feb 9, 2022 #3 Tupe bei
N Namata Senior Member Joined Sep 1, 2019 Posts 154 Reaction score 191 Apr 1, 2022 #4 tst said: dagaa nyama wengi Sana kutoka Tang Click to expand... Unauza shiringi ngap mm naitaji kiukweli
tst said: dagaa nyama wengi Sana kutoka Tang Click to expand... Unauza shiringi ngap mm naitaji kiukweli
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,400 Reaction score 29,343 Apr 1, 2022 #5 Tafuta pesa wewe, dagaa ni dagaa tu…. hakuna dagaa wa nyama.
N Namata Senior Member Joined Sep 1, 2019 Posts 154 Reaction score 191 Apr 1, 2022 #6 Mm uwa nauza dagaa sokon sasa dagaa uwa wanamajina ndio maana nimeita ivyo kwasababu ndio Nina lake LA utambulisho
Mm uwa nauza dagaa sokon sasa dagaa uwa wanamajina ndio maana nimeita ivyo kwasababu ndio Nina lake LA utambulisho
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,352 Reaction score 185,596 Apr 1, 2022 #7 Ngoja waje kukupa muongozo...
N Namata Senior Member Joined Sep 1, 2019 Posts 154 Reaction score 191 Apr 1, 2022 #8 Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Click to expand... Nimepata tanga uko
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,352 Reaction score 185,596 Apr 1, 2022 #9 Namata said: Nimepata tanga uko Click to expand... Kila la kheri...
W wickilife New Member Joined Sep 1, 2022 Posts 2 Reaction score 0 Sep 11, 2022 #10 tst said: Habari wakuu! Nina dagaa nyama wengi Sana kutoka Tanga,naomba munijuze wapi Kuna SOKO la uhakika kwenye mikoa yetuu.Pia wenye uzoefu wa biashara hii kwa mikoani. View attachment 2113787 Click to expand... naomba tuwasiliane nahtj 0763907875
tst said: Habari wakuu! Nina dagaa nyama wengi Sana kutoka Tanga,naomba munijuze wapi Kuna SOKO la uhakika kwenye mikoa yetuu.Pia wenye uzoefu wa biashara hii kwa mikoani. View attachment 2113787 Click to expand... naomba tuwasiliane nahtj 0763907875
S Sircobe JF-Expert Member Joined Aug 21, 2022 Posts 235 Reaction score 300 Jan 13, 2024 #12 Kilo 8000
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 6,141 Reaction score 6,359 Jan 13, 2024 #13 Dagaa ni dagaa hakuna dagaa wa nyama.