juliano norman
Member
- Dec 17, 2015
- 41
- 4
Wapi linapatikana soko la choroko na bei ikoje maana huku mtwara hamna wanunuzi
Wewe unauza bei gan Mkuu Kwa kiloWapi linapatikana soko la choroko na bei ikoje maana huku mtwara hamna wanunuzi
Lete Dar mkuu,Wapi linapatikana soko la choroko na bei ikoje maana huku mtwara hamna wanunuzi
Mkuu vipi kuhusu denguLete Dar mkuu,
Tunanunua Choroko na Ufuta pia.
Bei ya choroko leo ilikuwa 1,080/= na ufuta ulinunuliwa kwa 2,300/=
Karibu sana.
0659890000
fmlyimo@gmail.com
Vipi Mkuu mnanunua Choroko muda wote au kuna kipindi maalumu tu..?Lete Dar mkuu,
Tunanunua Choroko na Ufuta pia.
Bei ya choroko leo ilikuwa 1,080/= na ufuta ulinunuliwa kwa 2,300/=
Karibu sana.
0659890000
fmlyimo@gmail.com
upo mtwara sehemu gani na unauza kiasi gani kwa kilo...?Wapi linapatikana soko la choroko na bei ikoje maana huku mtwara hamna wanunuzi