Maeneo haya ya buse na Katoro wana jf tupo wengi ila hatujuani! Nami napatikana hapa soko la ndizi jirani na Diwani Godi au kwa Yusuf Banana nina kanyumba kangu hapo kananipa pesa ya kusukuma maisha.
Maeneo haya ya buse na Katoro wana jf tupo wengi ila hatujuani! Nami napatikana hapa soko la ndizi jirani na Diwani Godi au kwa Yusuf Banana nina kanyumba kangu hapo kananipa pesa ya kusukuma maisha.
Leo nimepita nikaona wafanyabiashara wa eneo hilo washalimwa notisi ,Japo baadhi yao waliwagomea na hvo kubadili ramani na kuamua machinga wote watoke ndani ya hilo soko ili kumpisha mwekezaji mpya .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.