Soko la biashara ya asali

Soko la biashara ya asali

ApuG

Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
12
Reaction score
6
Husika hapo juu wakuu,

Nataka kujikita ktk biashara ya Asali ili niweze kujikwamua kimaisha,
Nataka kutoa Asali Tabora na kusafirisha Dar.

Sasa naomba kufahamishwa kwa huko Dar ni wapi ntapata wahitaji zaidi,
Kwa kuanzia nataka nianze na mzigo wa lita 50 hadi 100.

Naombeni ushauri wenu wadau.
 
Back
Top Bottom