Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,735
Kabla hujaanza project yyoyote ni lazima ufanye market survey, umenishangaza, survey yako badala ya kuifanyia sokoni ,wewe unafanyia mtandaoni. OK, ulipopeleka mboga ndipo utakapokula
Wachina ndio wanunuzi wakubwa wa bata.Wakulima na wafugaji Mambo vipi!
Nina plan za kufuga bata wa kienyeji aina ya Muscovy, nataka kufuga kibiashara zaidi, kuanzia mwezi ujao nataka niwe nimeshaanza project hii.
Sasa naomba tupeane uzoefu kutoka kwa wafugaji hasa kuhusu SOKO la hawa bata..
Mimi nipo dsm kimara.
View attachment 1195506
View attachment 1195507
aina hiyo ya bata.
Karibuni.
Wachina ndio wanunuzi wakubwa wa bata.
mkuu anza kuwafuga hao jamii tu inayokuzunguka ikisha ona tu unao itaanza kuja kununua kwako.
Me ninao kama hao,sema nimefuga kama wa chakula tu..
Ukipata soko la uhakika toa feedback mkuu,ili tuchangamkie fursa
Kiongozi una vifaranga vingi sana, unatotolesha mayai?
Me ninao kama hao,sema nimefuga kama wa chakula tu..
Ukipata soko la uhakika toa feedback mkuu,ili tuchangamkie fursa
Usijali kiongozi wangu, ndio bado nafanya research, ila soon project itaanza, nitakuja kutoa mrejesho humu.
Utakachopata hapa hakita reflect hali halisi ya soko, wengi hata bata hawamjui, ukiwauliza bata ni nini watakuambia misosi, mitungi, pamba na mikasiDuuh wewe noma,haya bnaa..inaonekana nisingetakiwa kuja kuuliza huku JF, kumbe market intelligence inafanyiwa sokoni tu.
Ok sawa, naweza kupata contacts, kama hutojali?Hivyo vifaranga sio vyangu, ila ndio nategemea kuwanunua hao, wakuanza nao.. ofcourse yeye anatotolesha mayai.
Kwny Mihogo pia wakulima waliambiwa walime kwa wingi wachina ndo wanunuzi wakubwa,waliachiwa manyoyaa.Wachina ndio wanunuzi wakubwa wa bata.
Ok sawa, naweza kupata contacts, kama hutojali?
Kwny Mihogo pia wakulima waliambiwa walime kwa wingi wachina ndo wanunuzi wakubwa,waliachiwa manyoyaa.
Mimi nimewafuga wengi Sana, napenda sana ufugaji na huwa natamani siku niwe na Kila aina ya mfugo nyumbani kwangu.
Kuhusu solo nadhani bado Hawa Bata hawajawa for commercial.