Omba Nursing,,CO(clinical officers),,education
Agriculture ili uajiriwe utasota sana may be km unandoto za kuwa mkulima wa kisasa
Unaweza kuwa Nurse na ukafanya na kilimo pia maana ajira zao zinapagwa na serikali tena ukipata huko mikoani hakuna hata doctor ww ndio utakuwa mganga mkuu na diploma yakokilimo miyeyusho yaan unategemea mvua halaf hata kitaa hauheshimiki.......wale wenye certificate ya nursing wanaogopwa kuliko wewe mwenye diploma ya kilimo
asante sodoka nimesoma physics ila tatizo langu ni kwamba mim course za afya sizipendelei sana kwa kweli ndio maana nilifikiria agriculture labda kama kuna course nyngne nzuri out of health issues unishaur plizpole sana Bajok kuna thread yako uliwah kuitoa mwez June kabla ya matokeo ya form six.....agriculture in general kwa diploma sina uhakika kama ni nzuri lakn kama ulifanya physics O level nakushauri uombe sekta ya Afya kuna course kibao zinalipa
Dogo angalia maslahi unaweza ukipenda kazi naukafa maskini wake up boy wahi kabla nacte hawajafunga apply coz za afya au techinical colleges kama ulifaulu phys O levelsawa mkuu
wazo zuriJaribu Education kama utapendelea
Mnaboa sana vijana, unakuja kuomba ushauri nini usomee kutokana na ufaulu na masomo ulio some, mbaya zaidi ukishauriwa analeta ujuaji kwa kujifanya kuchagua huku mkiendekeza mahaba kwa kile mnacho amini kwamba mnakipenda hata kama haki lipi.asante sodoka nimesoma physics ila tatizo langu ni kwamba mim course za afya sizipendelei sana kwa kweli ndio maana nilifikiria agriculture labda kama kuna course nyngne nzuri out of health issues unishaur pliz
Acheni kukariri na hizo kozi za kila siku, Afya, Ualimu sijui nini...Ingia sekta za madinisawa kiongoz nimekuelewa
ni ukweli niliomba agriculture ila nimeona nacte wametoa nafasi za kufanya maombi kwa awamu nyingine ndio maana nikaona niombe ushauri ili ikibidi nibadilisheMnaboa sana vijana, unakuja kuomba ushauri nini usomee kutokana na ufaulu na masomo ulio some, mbaya zaidi ukishauriwa analeta ujuaji kwa kujifanya kuchagua huku mkiendekeza mahaba kwa kile mnacho amini kwamba mnakipenda hata kama haki lipi.
Minaona hapakua na ulazima wa kuomba ushauri hapa ikiwa unaonyesha wazi kwamba umesha fanya uchaguzi wako tayari.
zipo mpk kumaliza we itakuwaje??na ukisoma degree vipi hakuna ajira pia