Soko la ajira kwa geography and environment studies

FezzyJoe

Senior Member
Jun 2, 2017
115
45
Waungwana naomba kufahamu upana wa nafasi za ajira kwa aliyesoma course ya geography and environment studies kwa Tanzania na Africa mashariki.
 
Mdogo wangu kugraduate 2013 Ajira haipo kabisa
 
Hajajichanganya, anaweza jisajiri NEMC akawa anafanya kazi binafsi za EIA, audt n.k, ni una hela usipobweteka

Na safety ndo kazi zai kwenye miradi
 
Waungwana naomba kufahamu upana wa nafasi za ajira kwa aliyesoma course ya geography and environment studies kwa Tanzania na Africa mashariki.
HAKUNA AJIRA. Na unapotaka kwenda chuo kikuu nenda na kiu ya kupata elimu ya ndoto zako tu sio matumaini ya kuajiriwa ukimaliza shahada. Jiandae kwa yote.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…